Dodoma Branch
  • Dodoma Branch
  • Dar es salaam Branch
  • Office no.18, Capital City Mall, Kilimo Kwanza
  • Mikocheni, Rose Garden Road near
    Pakistan Embassy
K-FINANCE
Dar es salaam 0739 799 115
Dodoma Branch 0715 799 115
Mon - Friday 8:00am - 5:00pm
Sat 9:00am - 1:00pm
Sunday CLOSED
  • Home
  • About
  • Loans
    • Ada Loan
    • Personal salaried loan
    • Executive Loan
    • Mjasiriamali Loan
    • Tender Loan
  • services
  • People
  • Media
    • Exhibitions
  • FAQ
  • Contact us
K-FINANCE
  • Home
  • About
  • Loans
    • Ada Loan
    • Personal salaried loan
    • Executive Loan
    • Mjasiriamali Loan
    • Tender Loan
  • services
  • People
  • Media
    • Exhibitions
  • FAQ
  • Contact us
Dar es salaam 0739 799 115
Dodoma Branch 0715 799 115
Mon - Friday 8:00am - 5:00pm
Sat 9:00am - 1:00pm
Sunday CLOSED
HomenewsExhibitions
  • K-Finance yaanzisha mkopo wa Ada za Shule

    • 28th August 2020
    • Posted by: Admin Kfinance
    • Category: Exhibitions
    No Comments

    Taasisi ya K finance imeanzisha mkopo wa ada za shule kwa wanafunzi ili kupunguza makali ya upatikanaji wa fedha baada ya kuisha mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona. Akizungumza na MTANZANIA leo Jumatano Julai 8 katika viwanja vya sabasaba, Mkurugenzi Mtendaji wa K-finance, Judith Minzi amesema lengo ni kuwasaidia

    read more
  • Ushauri wa kibiashara kwa wafanyakazi na watu binafsi

    • 16th December 2019
    • Posted by: Joel Christopher
    • Category: Exhibitions
    No Comments

    Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni  ya K-FINANCE inayotoa Mikopo na Ushauri wa Kibiashara kwa wafanyabiashara na watu binafsi Judith Minzi (aliyesimama), akipewa maelezo na moja ya washiriki wa maonyesho ya wanawake wajasiriamali maarufu kama Women in Business Balance Expo ya mwaka huu ambayo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni. K-Finance ilidhamini maonyesho hayo kuongea na washiriki

    read more
  • World Competition Day Commemorations

    • 10th December 2019
    • Posted by: Joel Christopher
    • Category: Exhibitions
    No Comments

    Mwenyekiti wa Bodi ya K-FINANCE Bi.Devotha Minzi (katikati) akitoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Ushindani (FCC) Prof Humphrey Mushi (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa tume hiyo Bwana John Mduma (wa pili kulia) wakati wa maonyesho ya Maadhimisho ya siku ya Ushindani Duniani yaliyofanyika Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa

    read more
Copyright © 2017 K-Finance Limited. All rights reserved
  • ←
  • Contact Us

    Contact Form

  • WhatsApp