Mjasiriamali Loan

Walengwa

Wafanyabiashara wenye mahitaji ya aina mbalimbali katika kuendesha biashara.

Viwango vya Mkopo

TZS 1M – TZS 20M

Lengo la Mkopo

Kukidhi mahitaji mbalimbali kama vile kulipa mishahara kwa wafanyakazi, kulipa kodi ya pango, ofisi au ushuru, kukuza uwezo wa biashara n.k

Muda wa Mkopo

Sio zaidi ya Miezi 12

Rejesho

Kila mwezi

Dhamana na Gharama za mkopo

  • Usajili wa mkopo
  • Tunakopea 3rd party dhamana kutoka kwa mdhamini wako pia.
  • Gari iliyopo katika ubora unaoridhisha na ina bima kubwa.
  • Hati za share (Share Certificates) kutoka makampuni mbalimbali, au MERMATS
  • Ada ya kuratibu mkopo ni 3% inayolipwa wakati wa kuchukua mkopo
  • Ufungaji wa Car Track

Viambatanisho kwenye maombi ya mkopo

  • Ombi la mkopo lililojazwa kikamilifu
  • Kitambulisho cha uraia, kura, passport au udereva)
  • Barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa (nyumbani na biashara)
  • Fomu ya ombi la Mkopo lililojazwa kikamilifu
  • Idhini ya Mwenzi wa ndoa (ambatanisha cheti cha ndoa au kiapo (AFFIDAVIT) kama huna ndoa
  • Mkataba wa udhamini (Endapo Mkopaji hana makazi ya Kudumu Dar au Dodoma, ni sharti adhaminiwe na mtu mwenye makazi ya kudumu, ambatanisha bili za maji au umeme)
  • Picha 1 ya mwombaji na ya mdhamini
  • Uthibitisho wa uzoefu wa biashara (Leseni ya Biashara, TIN namba au Tax Clearance, bank statement isiyopungua miezi 6)
  • Taarifa ya mapato na matumizi zinazoonyesha historia ya biashara
  • Uthibitisho wa mapato mengine ikiwa kama yapo
  • Picha ya eneo la biashara na dhamana

Mkopo
Chapchap!

Wasiliana nasi kwa mkopo wa haraka zaidi, ndani ya masaa 48 tu!

Pata Mkopo ndani ya Masaa 48 tu!