Walengwa
Wafanyakazi wa ngazi ya vyeo vya kati na juu wenye mikataba ya ajira. Mkopo huu utalenga wafanyakazi wenye mishahara isiyopungua Millioni 3M (Gross).
Viwango vya Mkopo
TZS 1M – TZS 20M
Lengo la Mkopo
Mahitaji mbalimbali ya kibinafsi, kibiashara na kiuwekezaji
Muda wa Mkopo
Sio zaidi ya Miezi 12
Rejesho
Kila mwezi
Dhamana na Gharama za mkopo
- Usajili wa mkopo
- Tunakopea 3rd party dhamana kutoka kwa mdhamini wako pia.
- Ada ya kuratibu mkopo ni 3% inayolipwa wakati wa kuchukua mkopo
- Gari iliyopo katika ubora unaoridhisha na ina bima kubwa.
- Nyumba/kiwanja kilichoendelezwa na zenye hati rasmi
- Ufungaji wa Car Track
Viambatanisho kwenye maombi ya mkopo
- Ombi la mkopo lililojazwa kikamilifu
- Utambulisho wa Serikali za mtaa
- Picha moja ya Muombaji
- Kitambulisho cha kazi
- Mkataba wa kazi (Employment Contract)
- Barua ya Utambulisho kutoka kwa Muajiri wako (Introduction Letter)
- Mdhamini wa Mkopo
- Shahada za mshahara (Salary Slip) za miezi 3 ya hivi karibuni, Bank statement ya miezi 6-ambako mshahara wako unapitia.
- Picha ya dhamana