Walengwa
Wafanyakazi wenye Mikataba maalumu ambao wanaweza kupata udhamini wa kazi kutegemeana na net ya mshahara, net kuanzia shilingi 600,000 au udhamini wa Mtu mwingine yeyote anaye kidhi vigezo vya kudhamini.
Viwango vya Mkopo
Tzs 500,000/= hadi Tzs 5,000,000/=
Lengo la Mkopo
Kulipia ada ya masomo shuleni pamoja na mahitaji mengineyo kama vile accommodation fees(boarding) na School bus fees(Day Scholars)
Muda wa Mkopo
Sio zaidi ya miezi 12
Rejesho
Kila mwezi
Dhamana na Gharama za mkopo
- Tunapokea Dhamana za ndani au vifaa vya ofisi vyenye thamani ya 200% ya mkopo unaoombwa (kwa mkopo chini ya milioni 1)
- Gari au nyumba/kiwanja kilichoendelezwa na chenye hati rasmi
- Tunapokea 3rd Party dhamana kutoka kwa mdhamini wako pia
- Ada ya kuratibu mkopo (10,000/= tu)
Viambatanisho kwenye maombi ya mkopo
- Udhibitisho ya kiasi cha ada kinachodaiwa na shule
- Kitambulisho cha kazi
- Mkataba wa kazi au leseni ya biashara, TIN namba
- Picha moja ya Muombaji
- Shahada za mshahara (Salary Slip) za miezi 3 ya hivi karibuni, Bank statement ya miezi 6-ambako mshahara wako unapitia au taarifa ya mapato na matumizi zinazoonyesha historia ya biashara
- Picha ya dhamana