Walengwa
Wafanyakazi wenyeMikataba maalumu ambao wanaweza kupata udhamini wa kazi kutegemeana na net ya mshahara, net kuanzia shilingi 600,000 na waajiriwa wenye biashara yenye Zaidi yam waka ambayo imesajiliwa n ani mlipa kodi
Viwango vya Mkopo
TZS 5M- TZS 50M
Muda wa Mkopo
Sio zaidi ya Miezi 24
Rejesho
Kila mwezi
Dhamana na Gharama za mkopo
- Usajili wa mkopo
- Ada ya kuratibu mkopo ni 3% inayolipwa wakati wa kuchukua mkopo
- Gari iliyopo katika ubora unaoridhisha na ina bima kubwa
- Ufungaji wa Car Track
Viambatanisho kwenye maombi ya mkopo
- Picha moja ya Muombaji
- Kitambulisho na mkataba wa kazi au leseni ya biashara
- Shahada za mshahara (Salary Slip) za miezi 3 ya hivi karibuni, Bank statement ya miezi 6-ambako mshahara wako unapitia au malipo biashara yako yanapopitia