Personal salaried loan

Walengwa

Wafanyakazi wenye Mikataba maalumu ambao wanaweza kupata udhamini wa kazi kutegemeana na net ya mshahara, net kuanzia shilingi 600,000 au Udhamini wa Mtu mwingine yeyote anaye kidhi vigezo vya Udhamini.

Viwango vya Mkopo

TZS 1M- TZS 10M

Lengo la Mkopo

Mahitaji mbalimbali ya kibinafsi na ya kimaendeleo kama vile kulipia kodi za nyumba, ada za shule, hata uwekezaji n.k

Muda wa Mkopo

Sio zaidi ya Miezi 12

Rejesho

Kila mwezi

Dhamana na Gharama za mkopo

 • Usajili wa mkopo
 • Tunakopea 3rd party dhamana kutoka kwa mdhamini wako pia.
 • Ada ya kuratibu mkopo ni 3% inayolipwa wakati wa kuchukua mkopo
 • Gari iliyopo katika ubora unaoridhisha na ina bima kubwa.
 • Nyumba/kiwanja kilichoendelezwa na zenye hati rasmi
 • Ufungaji wa Car Track

Viambatanisho kwenye maombi ya mkopo

 • Ombi la mkopo lililojazwa kikamilifu
 • Utambulisho wa Serikali za mtaa
 • Picha moja ya Muombaji
 • Kitambulisho cha kazi
 • Mkataba wa kazi (Employment Contract)
 • Barua ya Utambulisho kutoka kwa Muajiri wako (Introduction Letter)
 • Mdhamini wa Mkopo
 • Shahada za mshahara (Salary Slip) za miezi 3 ya hivi karibuni, Bank statement ya miezi 6-ambako mshahara wako unapitia.
 • Picha ya dhamana

Mkopo
Chapchap!

Wasiliana nasi kwa mkopo wa haraka zaidi, ndani ya masaa 48 tu!

Pata Mkopo ndani ya Masaa 48 tu!