World Competition Day Commemorations

Mwenyekiti wa Bodi ya K-FINANCE Bi.Devotha Minzi (katikati) akitoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Ushindani (FCC) Prof Humphrey Mushi (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa tume hiyo Bwana John Mduma (wa pili kulia) wakati wa maonyesho ya Maadhimisho ya siku ya Ushindani Duniani yaliyofanyika Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa K-Finance, Judith Minzi ambao wanatoa huduma za mikopo na ushauri wa kibiashara kwa wajasiriamali na watu walioajiriwa katika sekta kibinafsi.