Stock Loan

Walengwa

Wafanyabiashara wenye wenye upungufu wa kifedha ili kukuza kiwano chao cha kununua bidhaa katika kujaza kwenye maghala yao.

Viwango vya Mkopo

TZS 2M – TZS 20M

Lengo la Mkopo

Pesa ya kuendesha biashara ili kukidhi mahitaji ya usambazaji sokoni.

Muda wa Mkopo

Sio zaidi ya Miezi 12

Rejesho

Kila mwezi

Dhamana na Gharama za mkopo

 • Usajili wa mkopo
 • Tunakopea 3rd party dhamana kutoka kwa mdhamini wako pia.
 • Gari iliyopo katika ubora unaoridhisha na ina bima kubwa.
 • Hati za share (Share Certificates) kutoka makampuni mbalimbali, au MERMATS.
 • Thamani ya dhamana iwe 200% ya mkopo unaoomba.
 • Ada ya kuratibu mkopo ni 3% inayolipwa wakati wa kuchukua mkopo
 • Ufungaji wa Car Track.

Viambatanisho kwenye maombi ya mkopo

 • Ombi la mkopo lililojazwa kikamilifu
 • Kitambulisho cha uraia, kura, passport au udereva)
 • Barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa (nyumbani na biashara)
 • Idhini ya Mwenzi wa ndoa (ambatanisha cheti cha ndoa au kiapo (AFFIDAVIT) kama huna ndoa
 • Mkataba wa udhamini (Endapo Mkopaji hana makazi ya Kudumu Dar au Dodoma, ni sharti adhaminiwe na mtu mwenye makazi ya kudumu, ambatanisha bili za maji au umeme)
 • Picha 1 ya mwombaji na ya mdhamini.
 • Uthibitisho wa uzoefu wa biashara (Leseni ya Biashara, TIN namba au Tax Clearance, bank statement isiyopungua miezi 6)
 • Purchase Invoice

MIKOPO YOTE NDANI YA MASAA 48 TU!