-
A PHOTOGRAPHIC JOURNEY THROUGH THE 2022 ANNUAL GENERAL MEETING
- 5th July 2023
- Posted by: Admin Kfinance
- Category: Business plans, Economics, Finance & accounting, Innovation
No Comments -
DIRECTOR FAREWELL & APPOINTMENT EVENT
- 9th May 2023
- Posted by: Admin Kfinance
- Category: Business plans
-
K-Finance yaanzisha mkopo wa Ada za Shule
- 28th August 2020
- Posted by: Admin Kfinance
- Category: Exhibitions
Taasisi ya K finance imeanzisha mkopo wa ada za shule kwa wanafunzi ili kupunguza makali ya upatikanaji wa fedha baada ya kuisha mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona. Akizungumza na MTANZANIA leo Jumatano Julai 8 katika viwanja vya sabasaba, Mkurugenzi Mtendaji wa K-finance, Judith Minzi amesema lengo ni kuwasaidia
-
Ushauri wa kibiashara kwa wafanyakazi na watu binafsi
- 16th December 2019
- Posted by: Joel Christopher
- Category: Exhibitions
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya K-FINANCE inayotoa Mikopo na Ushauri wa Kibiashara kwa wafanyabiashara na watu binafsi Judith Minzi (aliyesimama), akipewa maelezo na moja ya washiriki wa maonyesho ya wanawake wajasiriamali maarufu kama Women in Business Balance Expo ya mwaka huu ambayo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni. K-Finance ilidhamini maonyesho hayo kuongea na washiriki
-
World Competition Day Commemorations
- 10th December 2019
- Posted by: Joel Christopher
- Category: Exhibitions
Mwenyekiti wa Bodi ya K-FINANCE Bi.Devotha Minzi (katikati) akitoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Ushindani (FCC) Prof Humphrey Mushi (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa tume hiyo Bwana John Mduma (wa pili kulia) wakati wa maonyesho ya Maadhimisho ya siku ya Ushindani Duniani yaliyofanyika Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa