Dar es salaam 0739 799 115
Dodoma Branch 0715 799 115
HomeArticles by: Joel Christopher
Joel Christopher
-
Ushauri wa kibiashara kwa wafanyakazi na watu binafsi
- 16th December 2019
- Posted by: Joel Christopher
- Category: Exhibitions
No CommentsMkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya K-FINANCE inayotoa Mikopo na Ushauri wa Kibiashara kwa wafanyabiashara na watu binafsi Judith Minzi (aliyesimama), akipewa maelezo na moja ya washiriki wa maonyesho ya wanawake wajasiriamali maarufu kama Women in Business Balance Expo ya mwaka huu ambayo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni. K-Finance ilidhamini maonyesho hayo kuongea na washiriki
-
World Competition Day Commemorations
- 10th December 2019
- Posted by: Joel Christopher
- Category: Exhibitions
Mwenyekiti wa Bodi ya K-FINANCE Bi.Devotha Minzi (katikati) akitoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Ushindani (FCC) Prof Humphrey Mushi (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa tume hiyo Bwana John Mduma (wa pili kulia) wakati wa maonyesho ya Maadhimisho ya siku ya Ushindani Duniani yaliyofanyika Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa