Asset Loan

Walengwa

Wafanyakazi na wafanyabiashara wenye uhitaji.

Viwango vya Mkopo

TZS 2M – TZS 20M

Lengo la Mkopo

Pesa ya kununua mahitaji mbalimbali kwa lengo la kibiashara au binafsi mfano: magari, vifaa vya kuendesha biashara, vifaa vya nyumbani, mashine.

Muda wa Mkopo

Sio zaidi ya Miezi 12

Rejesho

Kila mwezi

Dhamana na Gharama za mkopo

 • Usajili wa mkopo
 • Gari iliyopo katika ubora unaoridhisha na ina bima kubwa.
 • Tunakopea 3rd party dhamana kutoka kwa mdhamini wako pia.
 • Nyumba/kiwanja kilicho endelezwa na zenye hati rasmi au leseni ya Makazi (mortgage itafanyika).
 • Thamani ya dhamana iwe 200% ya mkopo unaoomba.
 • Ada ya kuratibu mkopo ni 3% inayolipwa wakati wa kuchukua mkopo
 • Ufungaji wa Car Track.

Viambatanisho kwenye maombi ya mkopo

 • Kitambulisho (copy ya kitambulisho cha uraia, kura, passport au udereva)
 • Barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa (nyumbani na biashara)
 • Idhini ya Mwenzi wa ndoa (ambatanisha cheti cha ndoa au kiapo (AFFIDAVIT) kama huna ndoa
 • Picha 1 ya mwombaji na ya mdhamini.
 • Uthibitisho wa uzoefu wa biashara (Leseni ya Biashara, TIN au usajiri wa biashara, kibali cha ushuru, kibali cha ushuru, bank statement isiyopungua miezi 6)
 • Taarifa ya mapato na matumizi zinazoonyesha historia ya biashara
 • Shahada za Mshahara (Salary Slip) za miezi 3 ya hivi karibuni.

MIKOPO YOTE NDANI YA MASAA 48 TU!